# Maelezo ya Jumla Hii yaendeleza orodha iliyo anzwa 25:9 # ya kumi na nne ... kumi na saba Hii yaonyesha utaratibu familia zilivyo chaguliwa. "namba 14 ... namba 15 ... namba 16 ... namba 17" # Matithia Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:1 # watu kumi na mbili "watu 12" # Yeremothi Hii ni aina nyingine ya kuandika "Uzieli" 25:4 # Hanania Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:4 # Yoshibekasha Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:4