# Maelezo ya Jumla Hii yaendeleza orodha iliyo anzwa 25:9 # ya kumi ... ya kumi na tatu Hii ya onyesha orodha jinsi familia zilivyo chagulliwa. "namba 10 ... namba 11 ... namba 13" # Shimei Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:1 # watu kumi na mbili "watu 12" # Azareli Hii ni aina nyingine ya kuandika "Uzieli" 25:4 # Hashabia Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:1 # Shubaeli Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:4