# Maelezo ya Jumla Hii ya endeleza orodha iliyo anzishwa 25:9 # ya sita ... ya tisa Hii ya onyesha utaratibu jinsi familia zilivyo chaguliwa. "namba 6" ... namba 7 ... namba 8 ... namba 9" # Bukia Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:4 # watu kumina mbili "watu 12" # Yesharela Aina nyingine ya kuandika "Ashareka" 25:1 # Yeshaia Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:1 # Matania Ona jinsi ulivyo tafsiri 25:4