# Maelezo ya Jumla Hii yaanza orodha ya kura 24 zilizo tupwa kuchagua utaratibu za familia gani zitakazo hudumu. Hii orodha yaisha 25:29 # ya kwanza ... ya pili Hii yaonyesha utaratibu wa familia zilizo chaguliwa. "namba 1 ...namba 2 ... namba 3 ... namba 4 ... namba 5" au tumia " wa awali" kwa "wa kwanza" na "akifuatiwa" kwa wote wano fuata. # kura ya kwanza iliangukia katika familia ya Yusufu Kwa watu wote kwenye orodha, nakala ya eleza kwamba palikuwa "watu kumi na mbili kwa idadi" Kwa maana hii imegusiwa, unaweza ongeza hii sentensi kwa ajili ya Yusufu, kama UDB inavyo fanya. "kura ya kwanza ilimwangukia familia ya Yusufu, watu kumi na mbili kwa idadi" # Yusufu ... Zakuri ... Nethania Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina 25:1 # Gedalia Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina 25:1 # watu kumi na mbili "watu 12" # Izri Hili jina limeandikwa Zeri 25:1