# Kwa maneno ya Daudi ya mwisho Walawi walihesabiwa "Amri ya Daudi ya mwisho ilikuwa wanaume wake wa wahesabu walawi" # miaka ishirini na kuendelea "walio kuwa miaka 20 na kuendelea" # mkate wa uwepo Ona jinsi ulivyo tafsiri 9:30 # unga unga mtu anaoupata kwa kusaga mbegu # sadaka ziliochanganywa na mafuta "sadaka mtu alizozichanganywa na mafuta