# Kwa hawa, elfu ishirini na nne elfu nne "Kwa hawa Walawi, 24,000" # elfu sita "Walawi 6,000" # maaskari na waamuzi Hawa Walawi walisikiliza mashtaka ya kisheria na kutoa haki kwa mujibu wa sheria ya Musa. # Elfu nne "Walawi 4,000 # walinzi wa lango Hawa Walawi walilinda lango ili mtu najisi hasiingie" # kulingana "kwa mujibu wa" au "kwa uzao wa" # Gerishoni, Kohathi, na Merari Haya ni majina ya wana wa Walawi.