# Maelezo ya jumla Daudi anaendelea kusema na Sulemani. # wachonga mawe Hawa ni wafanya kazi ambao wanakata mawe na kuandaa kwa ajili ya wajenzi wa kuta na majengo. # maseremala Hawa ni watu wanao fanya kazi na mbao.