# Maelezo ya Jumla Daudi anaendelea kusema na Sulemani. # Ona Daudi anatumia hili neno kutambulisha kitu muhimu anacho kwenda kusema # talanta talanta ni kipimo cha uzito. Kinauzito wa kilogramu 33 # milioni moja "1,000,000"