# Maelezo ya Jumla Daudi anaendelea kuzungumza na Sulemani. # Sasa Daudi anatumia hili neno kutambulisha kitu muhimu anacho kwenda kusema. # Uweze kujenga "Uweze kufanikiwa kuelekeza jengo" # ata kapokuweka kiongozi juu ya Israeli "atakapo kufanya mfalme juu ya Israeli"