# akiwa na upanga mkonono mwake "tayari kushambulia" # Sio mimi niliye amuru jeshi kuhesabiwa? "Mimi ndiye niliye amuru jeshi lihesabiwe" # Lakini hawa kondoo Daudi anawaelezea watu wa Israeli kama aina ya wanyama watao muamini na kumfuata kiongozi. # wamefanya nini? "Hawaja fanya kitu kinacho stahili adhabu"