# kupatwa na upanga wao Haya maneno ni namna nyepesi ya kueleza kuuliwa na adui. # kupatwa na upanga wao Haya maneno ni eleza mbinu ya Yahweh ya kuua kwa kifaa mwanajeshi angetumia kuua. # akiharibu "akiua"