# Gezeri ... Gobu Haya ni majina ya miji # Sibekai ... Sipai ... Elhanani ... Lahmi Haya ni majina ya wanaume. # Mhushathi ... Refaimu ... Mbethilehemu ... Mgiti Haya ni majina ya makundi ya watu. # wakazidiwa kumtawala mtu au kitu kwa kutumia nguvu. # gongo mbao ndefu na nyembamba # gongo la mshonaji aina ya mbao inayo tumika kunyoosha mapindo wakati nyuzi za zuria zinashonwa pamoja kuzunguka.