# utamjengea nyumba Kuwa na watoto na kukuza familia kubwa yaelezwa kama kujenga nyumba. # nimepata ujasiri "kuwa mjasiri wakutosha" # umeibariki, na itabarikiwa milele Ina maana moja, imerudiwa kwa mkazo.