# wa ajili ya mtumishi wako "faida yangu" # uliwaokoa kutoka Misri "kuwaokoa kutoka utumwani Misri" # matendo makuu na yahajabu Maneno "makuu" na "ya ajabu" yana maana moja na kukazia uzito wa ukuu. "matendo mazuri ya ajabu"