# Nilikuchugua kutoka malishoni Kazi ya Daudi kama mchungaji ya taja kwa sehemu aliyo chunga kondoo zake. "Nilikutoa kwenye kazi yako kama mchungaji" # malishoni Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:39