# Kumbukeni matendo "Kumbuka mambo mazuri" # kinywa chake "aliyo nena" # 3enyi uzao wa Israeli mtumishi wake, enyi watu wa Yakobo, wateule wake Haya maneno yanashiriki maana moja na yanatumika kutia mkazo. # Amri zake zipo duniani kote "Amri zake ni za watu wote wa dunia"