# Wakaleta ndani Sanduku "Waisraeli wakaleta sanduku" # kipande cha mkate kipande kimoja cha mkate wa kuoka, wenye hamira # zabibu kavu Hizi ni zabibu zilizo kavu, tunda dogo linalo ota kwenye mizabibu.