# Maelezo ya Jumla Mungu anaendelea kumjibu Daudi kwa swali lake. # atakutangulia kwenda "ataenda mbele yako kukupigania" # Gezeri Hili ni jina la mji # umaarufu wa Daudi ukaenda katika nchi zote "Watu wa mbali wakaskia ushinde wa Daudi dhidi ya Wafilisti"