# chombo kipya cha matairi Hili ni gari la matairi linalo vutwa na mnyama ambaye hajawai kutumika. # tari chombo cha muziki chenye kichwa cha ngoma kinacho weza kupigwa na chenye vipande vya chuma vilivyo zunguka vinavyo toa sauti ngoma inapo pigwa. # upatu nyembamba, sahani za chuma zinazo gonganishwa pamoja kufanya sauti kubwa