# mambo makuu Haya ni matendo yanayoonyesha ujasiri, uweza, au ujuzi. # theluji ikianguka "wakati wa dhoruba ya theluji" # lakini alimfuata chini "Benaia alikutana na Mmisri" # mkuki kama gongo la mshonaji "mkuki mkubwa sana"