# Yebusi Hili lilikuwa jina fupi la Yerusalemu baada ya Wayebusi kuuteka mji, kabla ya Waisraeli kuchukuwa. # Daudi alichukuwa "Lakini jeshi la Daudi lilishinda" # mji wa Daudi "na wakauita mji wa Daudi" # hivyo akafanywa mkuu wa jeshi "Hivyo Daudi akamfanya Yoabu mkuu"