# Matithia ... Shalumu Haya ni majina ya watu. # Wakorahi ... Wakohathi Haya ni majina ya makundi ya watu. # mikate ya uwepo Ona kurasa ya neno kuhusu "mkate" kwa maelezo fasii kuhusu "mkate wa uwepo"