# Majina yao yaliandikwa kwenye kumbukumbu za watu katika vijiji vyao "Nakala zao katika vijiji vya hawa watu vilijumuisha majina ya hawa wanaume # watoto wao "uzao wao" # Walinzi wa mageti waliwekwa "wanaume walilinda miingilio" # pande zote nne, upande wa mashariki, magharibi, kaskazini, na kusini "pande zote"