# Walinzi wa lango "askari" au "walinzi wa lango" # Awali walisimama kulinda katika geti la mfalme upande wa mashariki wa kambi ya uzao wa Walawi "Uzao wa Walawi ulilinda lango la mfalme upande wa mashariki ya kambi" # mlango wa hema ... ango la kuingilia Haya maneno yote yanaelezea mwingilio wa hema ya kukutania, au maskani