# Berekia ... Shimea ... Mikaeli ... Baaseia ... Malikiya ... Ethani ... Zima ... Shimei Yahathi ... Gerishomu Haya ni majina ya watu # Msaidizi "mfanya kazi mwenza" # aliye simama mkono wake wa kuume Mamlaka ya mtu yaelezwa kama kwa wapi wanapo simama. Mkono wa kulia wa mtu ni sehemu mtu mwenye mamlaka alisimama.