# Hawa "Hawa walikuwa wana muziki" # Wakohathi Hili ni jina la kundi la watu # kurudi nyuma ya wakati Hii ina maana orodha inaenda kutokana na wa hivi karibuni na wa zamani. # Hemani ... Yerohamu ... Elieli ... Toa ... Zufi ... Mahathi Haya ni majina ya wanaume. # Elikana ... Amasai Ona jinsi ulivyo tafsiri haya majina ya hawa wanaume 6:25