# Hilikia ... Seraia ... Yehozadaki Haya ni majina ya wanaume. # wapeleka utumwani Yuda na Yerusalemu kwa mkono wa Nebukadneza. Nguvu ya Nebukadneza kupitia jeshi lake inafafanuliwa kama sehemu ya mwili wake ("mkono") alitumika kuongoza jeshi lake. " aliruhusu jeshi la Nebukadneza kushinda majeshi ya Yuda na Yerusalemu na kuchukua watu kwenda matekani."