# Maelezo ya Jumla Huu ni mwendelezo wa orodha ya uzao wa Daudi ya walio kuwa wafalme. Tunga hizi sentensi kama ulivyo fanya kuanzia 3:10. # Yohanani ... Shalumu ... Yehoyakini Haya ni majina ya wanaume.