# Bela ... Beori ... Yobabu .. Zera .. Hushamu Haya ni majina ya watu. # Dinhaba ... Bozra Haya ni majina ya sehemu # Hushamu wa nchi ya Watemani akatawala badala yake 'Hushamu, kutoka nchi ambayo uzao wa Temani waishi, alitawala baada yake." # Watemani Hili ni jina la kundi la watu