revert tm jit links

This commit is contained in:
Larry Versaw 2021-09-10 16:45:07 -06:00
parent 688382b572
commit 6e6dcf244c
23 changed files with 29 additions and 29 deletions

View File

@ -73,4 +73,4 @@ Kwa aya zifuatazo, matoleo ya kisasa ya Biblia yanatofautiana na matoleo ya zama
* "na kwamba mimi hutoa mwili wangu kuchomwa moto." (13: 3) Baadhi ya matoleo ya zamani yanasema, "na kwamba ninatoa mwili wangu ili nipate kujivunia."
* "Lakini kama mtu hajui jambo hili, asitambuliwe." (14:38) Baadhi ya matoleo ya zamani husema, "Lakini ikiwa kuna mtu yeyote asiyejua jambo hilo, basi asijue."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -45,6 +45,6 @@ Yafuatayo ni masuala muhimu zaidi ya maandishi katika 1 Yohana:
* "Na ninyi nyote mnajua ukweli." (2:20) ULB, UDB, na matoleo ya kisasa zaidi yasoma hivi au ifuatavyo: "Na ninyi nyote mna ujuzi." Baadhi ya matoleo ya zamani yana, "na mnajua vitu vyote."
* "na hivi ndivyo tulivyo!" (3:1). ULB, UDB, na matoleo ya kisasa zaidi kusoma hivi. Baadhi ya maandishi ya zamani yameacha maneno haya.
* "na kila roho isiyokubali Yesu haitoki kwa Mungu." (4:3) ULB, UDB, na matoleo ya kisasa zaidi yana somo hili. Baadhi ya maandishi ya kale yanasoma, "na kila roho isiyokubali kwamba Yesu amekuja katika mwili sio ya Mungu."
* "Kwa maana kuna watatu wanaoshuhudia mbinguni: Baba, Neno, na Roho Mtakatifu, na hawa watatu ni mmoja.Nao kuna watatu ambao wanashuhudia duniani: Roho, maji, na damu; na hawa tatu ni kama moja." (5:7-8). ULB, UDB, na matoleo mengine mengi hayasomi hivi. Watafsiri wanashauriwa kutafsiri hii kama ULB inavyofanya. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha kifungu hiki, watafsiri wanaweza kukijumuisha. Ikiwa imejumuishwa, inapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda haipo katika toleo la awali la 1 Yohana. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
* "Kwa maana kuna watatu wanaoshuhudia mbinguni: Baba, Neno, na Roho Mtakatifu, na hawa watatu ni mmoja.Nao kuna watatu ambao wanashuhudia duniani: Roho, maji, na damu; na hawa tatu ni kama moja." (5:7-8). ULB, UDB, na matoleo mengine mengi hayasomi hivi. Watafsiri wanashauriwa kutafsiri hii kama ULB inavyofanya. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha kifungu hiki, watafsiri wanaweza kukijumuisha. Ikiwa imejumuishwa, inapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda haipo katika toleo la awali la 1 Yohana. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -40,4 +40,4 @@ Katika kitabu hiki "Mimi" inaashiria Petero isipokuwa kwa sehemu mbili: 1 Petero
Iwapo tafsiri ya Bibilia ipo katika eneo kwa jumla, watafsiri wanafaa kuzingatia kutumia masomo yanayopatikana katika matoleo hayo. Kama sivyo watafsiri wanashauriwa kufuata masomo ya kisasa.
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -59,4 +59,4 @@ Katika mistari ifuatayo, matoleo ya kale yanatofoautiana na ya kisasa. Toleo la
* "Badala yake tulikuwa wapole miongoni mwenu kama mama anavyowafariji watoto wake." (2:7).Matoleo mengine ya kisasa na ya zamani yanasoma,"Tulikuwa kama watoto wachanga miongoni mwenu, jinsi mama hufariji watoto wake."
* "Timotheo ndugu yetu na mfanyikazi mwenzetu wa Mungu" (3:2)Matoleo mengine husema, "Timotheo, ndugu na mtumishi wa Mungu."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -58,4 +58,4 @@ Katika aya ifuatayo,matoleo ya kisasa yanatofautiana na matoleo ya kale. Toleo l
* "Utauwa ndiyo njia ya kupata pesa zaidi" Matoleo mengine ya kale yanasoma, "Utauwa ni njia ya kupata pesa zaidi. Jiepushe na vitu hivyo." (6:5).
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -67,4 +67,4 @@ Ujumbe wa Paulo ni kwamba Mungu hufanya Wakristo kuwa sehemu ya "ulimwengu mpya"
* "na katika upendo wenu kwetu" (8:7). Matoleo mengi, na ULB na UDB pia, husoma namuna hii. Hata hivyo, matoleo mengine mengi yanasoma, "na katika upendo wetu kwa ajili yenu." Kuna ushahidi wenye nguvu kwamba kila somo ni la asili. Watafsiri wanapaswa kufuata somo iliyopendekezwa na matoleo mengine katika eneo lao.
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -46,4 +46,4 @@ Katika mistari ifuatayo, matoleo ya kisasa ya Bibilia yanatofautiana na matoleo
* "Beori"(2:15) matoleo mengine yanasoma, "Bosori".
* "Vitu vya asili vitachomwa kwa moto na ardhi na matendo yao yatatambulishwa" (3;10). Matoleo mengine yana, "Vitu vya asili vitachomwa kwa moto na ardhi na matendo yaliyomo vitachomeka."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -54,4 +54,4 @@ Katika mistari ifuatayo, matoleo ya kisasa yanatofautiana na matoleo ya kale.ULB
* "Na yule mtu wa kuasi anatambulishwa" (2:3). ULB na UDB na matoleo mengi ya kisasa husoma hivi.Matoleo ya awali yanasoma, "na yule mtu wa dhambi anatambulishwa."
* "Kwa maana Mungu aliwachagua kama matunda ya kwanza ya wokovu" (2:13) ULB, UDB, na matoleo mengine husoma hivi. Matoleo mengine yanasoma, "Kwa vile Mungu aliwachagua "kutoka mwanzo kwa ajili ya wokovu."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -50,4 +50,4 @@ Katika aya zifuatazo,matoleo ya kisasa yanatofautiana na matoleo ya kale. Toleo
* "Kwa sababu hii niliteuliwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu."(1:11) Matoleo mengine yanasoma, "Kwa sababu hii,niliteuliwa kuwa mhubiri, mtume na mwalimu wa watu wa Mataifa."
* "Waonye mbele za Mungu" (2:14). Matoleo mengine ya zamani yanasoma, "Waonye mbele za Bwana."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -12,7 +12,7 @@ Nusu ya pili ya kitabu cha Matendo inaanzia katika sura hii. Luka anaandika zaid
### Mwanga kwa watu wa mataifa
Mara nyingi Biblia huzungumzia watu wasio wanyoofu, watu wasiotenda yanayomfurahisha Mungu,kana kwamba ni watu watembeayo kwa giza. Inazungumzia mwanga kana kwamba ndio unaweazesha wenye dhambi kubadilika ili wafahamu kwamba wanachotenda ni kibaya na waanze kumtii Mungu. Wayahudi waliwachukulia watu wote wa mataifa kama watembeao kwa giza lakini Paulo na Barnaba wakazungumzia watu wa mataifa kumhusu Yesu kama watakaoenda kuwaletea mwanga wa kawaida. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]]) Jesus as if they were going to bring them physical light. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]])
Mara nyingi Biblia huzungumzia watu wasio wanyoofu, watu wasiotenda yanayomfurahisha Mungu,kana kwamba ni watu watembeayo kwa giza. Inazungumzia mwanga kana kwamba ndio unaweazesha wenye dhambi kubadilika ili wafahamu kwamba wanachotenda ni kibaya na waanze kumtii Mungu. Wayahudi waliwachukulia watu wote wa mataifa kama watembeao kwa giza lakini Paulo na Barnaba wakazungumzia watu wa mataifa kumhusu Yesu kama watakaoenda kuwaletea mwanga wa kawaida. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]]) Jesus as if they were going to bring them physical light. (See: [[rc://*/ta/man/jit/figs-metaphor]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]])
## Links:

View File

@ -53,4 +53,4 @@ Katika maandiko yafuatayo,haijulikani yaliyosema maandiko ya awali, Watafsiri wa
* "Aliwavumilia" (Matendo 13:18). Matoleo mengine husema, "Aliwahudumia".
* "Haya ndiyo Bwana asema, yeye aliyeyatenda haya mambo yaliyojulikana tangu zamano."(Matendo 15:17-18). Matoleo ya awali yasema, "Bwana asema, kwake ambako matendo yake yanajulikana kwanzia zamani."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]]
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]]

View File

@ -77,4 +77,4 @@ Matoleo mengine ya kisasa yanatofautina na ya kale kwenye mistari ifuatayo. Tole
* "Ni kwa sababu ya mambo haya ndipo hasira ya Mungu inakuja kwa wana wasiotii" (3:6). Matoleo ya ULB,UDB ,na mengineyo ya kisasa husema hivi. Hata hivyo, kuna baadhi ya matoleo ya kisasa na ya kale ambayo husema, " Ni kwa sababu ya mambo haya ndipo hasira ya Mungu inakuja."
* 'Ni kwa sababu ya haya mambo nikamtuma kwenu ili myafahamu mambo kutuhusu sisi"(4:8). Matoleo mengine yanasem, "Nilimtuma kwenu "ili ayafahamu mambo kuhusu nyinyi."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -75,4 +75,4 @@ Aina hii ya usemi hutokea katika 1:1, 3, 4, 6, 7, 9, 10, 11, 12, 13, 15, 20; 2:6
* "katika Efeso" (1:1). Kadhaa ya maandiko ya awali hayajajumuisha maneno haya, lakini labda yamo katika barua ya awali. ULB, UDB, na tafsiri nyingi za kisasa zinayajumuisha.
* "kwa sababu sisi ni viungo vya mwili wake" (5:30). Tafsiri nyingi za kisasa, ikiwa ni pamoja na ULB na UDB, husoma kwa njia hii. Baadhi ya matoleo ya zamani yanasoma, "kwa sababu sisi ni viungo vya mwili wake na mifupa yake." Watafsiri wanaweza kuamua kuchagua usomaji wa pili ikiwa matoleo mengine katika eneo lao yanafanana hivyo. Ikiwa watafsiri wanachagua usomaji wa pili, wanapaswa kuweka maneno ya ziada ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Kitabu cha Waefeso.
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -46,4 +46,4 @@ Tafadhali angalia utangulizi wa Kitabu cha Warumi kwa maelezo zaidi juu ya aina
Kifungu kinachofuata ni suala la maana zaidi katika Kitabu cha Wagalatia:
* "Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? " (3:1) ULB, UDB, na matoleo mengine ya kisasa yana somo hili. Hata hivyo, matoleo ya kale ya Biblia yanaongeza, "ili msipaswe kuutii ukweli." Watafsiri wanashauriwa kutoingiza maneno haya. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri kuna matoleo ya kale ya Biblia ambayo yana kifungu hicho, watafsiri wanaweza kukijumuisha. Ikiwa imetafsiriwa, inapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Wagalatia. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
* "Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? " (3:1) ULB, UDB, na matoleo mengine ya kisasa yana somo hili. Hata hivyo, matoleo ya kale ya Biblia yanaongeza, "ili msipaswe kuutii ukweli." Watafsiri wanashauriwa kutoingiza maneno haya. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri kuna matoleo ya kale ya Biblia ambayo yana kifungu hicho, watafsiri wanaweza kukijumuisha. Ikiwa imetafsiriwa, inapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Wagalatia. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -58,4 +58,4 @@ Katika mistari ifuatayo, matoleo ya kisasa ya Bibilia yanatofautiana na matoleo
* "Walipigwa kwa mawe. Walikatwa kwa msumeno vipande viwili. Waliuawa kwa upanga" (11:37). Matoleo mengine ya kale yanasoma, "Walipigwa kwa mawe. Walikatwa kwa msumeno vipande viwili. Walijaribiwa. Waliuwawa kwa upanga".
* "Hata mnyama akiugusa huo mlima, lazima apigwe kwa mawe" (12:20). Matoleo mengine ya zamani yanasoma, "Hata mnyama akiugusa huo mlima, lazima apigwe kwa mawe ama achomwe kwa mkuki."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -59,16 +59,16 @@ Haya ni masuala muhimu zaidi ya maandishi katika Kitabu cha Yohana:
* "wakingoja maji kuchemka. Malaika wa Bwana mara na mara alishuka ndani ya bwawa na kuchochea mara na mara." (5:3-4)
Watafsiri wanashauriwa kutotafsiri kifungu hiki. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha kifungu hiki, basi watafsiri wanaweza kukijumuisha. Ikiwa inatafsiriwa, inapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yake sio Injili ya Yohana. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
Watafsiri wanashauriwa kutotafsiri kifungu hiki. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha kifungu hiki, basi watafsiri wanaweza kukijumuisha. Ikiwa inatafsiriwa, inapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yake sio Injili ya Yohana. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])
* Habari ya mwanamke mzinzi (7:53-8:11)
Kifungu hiki kinajumuishwa katika matoleo mengi ya kale na ya kisasa ya Biblia. Lakini hakiko katika nakala za kwanza za Biblia. Watafsiri wanashauriwa kutafsiri kifungu hiki. Kinapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) kuonyesha kwamba labda asili yake sio Injili ya Yohana. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
Kifungu hiki kinajumuishwa katika matoleo mengi ya kale na ya kisasa ya Biblia. Lakini hakiko katika nakala za kwanza za Biblia. Watafsiri wanashauriwa kutafsiri kifungu hiki. Kinapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) kuonyesha kwamba labda asili yake sio Injili ya Yohana. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])
* Baadhi ya matoleo ya zamani pia yana kifungu hiki:
"kupitia katikati yao, na hivyo kupitia" (8:59)
Lakini ni hakika kwamba kifungu hiki hakikuwa hapo awali kwa Injili ya Yohana. Hakipaswi kuingizwa. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
Lakini ni hakika kwamba kifungu hiki hakikuwa hapo awali kwa Injili ya Yohana. Hakipaswi kuingizwa. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -69,4 +69,4 @@ Kifungu kinachofuata hakijaingizwa katika matoleo mengi ya kisasa. Matoleo mengi
* "Kwa maana alipaswa kumfungua mfungwa mmoja wakati wa sikukuu" (23:17)
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -65,4 +65,4 @@ Haya ni masuala muhimu zaidi ya maandishi katika Kitabu cha Mathayo:
* "Wengi huitwa, lakini wachache huchaguliwa" (20:16)
* "Ole wenu, walimu wa Sheria na Mafarisayo, wanafiki! kwa kuwa mnaangamiza nyumba za wajane, wakati mnatoa sala ya muda mrefu. Basi mtapata hukumu kubwa zaidi." (23:14)
Watafsiri wanashauriwa kutoingiza vifungu hivi. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha moja au zaidi ya vifungu hivi, watafsiri wanaweza kuvijumuisha. Ikiwa vinajumuishwa, wanapaswa kuviweka ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Injili ya Mathayo. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
Watafsiri wanashauriwa kutoingiza vifungu hivi. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha moja au zaidi ya vifungu hivi, watafsiri wanaweza kuvijumuisha. Ikiwa vinajumuishwa, wanapaswa kuviweka ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Injili ya Mathayo. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -14,7 +14,7 @@ The Pharisees washed many things that were not dirty because they were trying to
### "Ephphatha"
This is an Aramaic word. Mark wrote it the way it sounds using Greek letters and then explained what it means. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-transliterate]])
This is an Aramaic word. Mark wrote it the way it sounds using Greek letters and then explained what it means. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-transliterate]])
## Links:

View File

@ -65,4 +65,4 @@ Kifungu kinachofuata hakipatikani katika maandiko ya awali. Biblia nyingi zinaju
* "Mwanzoni mwa siku ya kwanza ya juma, baada ya kufufuka, alionekana kwanza kwa Maria Magdalene, ambaye alikuwa amemtoa pepo saba. Akaenda akawaambia wale waliokuwa pamoja naye, walipokuwa wanaomboleza na kulia. Walisikia kuwa alikuwa hai na kwamba yeye alikuwa amemwona, lakini hawakuamini. Baada ya hayo, Yesu alionekana kwa njia tofauti kwa wawili kati yao, walipokuwa wakitembea. Wakaenda kuwaambia wanafunzi wengine , lakini hawakuamini. Baadaye Yesu aliwatokea wale kumi na moja walipokuwa wameketi mezani, na akawakemea kwa kutoamini na ugumu wa moyo, kwa sababu hawakuamini wale waliomwona baada ya kufufuka kutoka kwa wafu. Akawaambia, 'Nendeni ulimwenguni kote, mkahubiri Habari Njema kwa viumbe vyote, yeye anayeamini na kubatizwa ataokolewa, na asiyeamini atahukumiwa. Ishara hizi zitawaongoza wale wanaoamini: Kwa jina langu watawatoa pepo. Watazungumza kwa lugha mpya. Watachukua nyoka kwa mikono yao, na ikiwa watakunywa kitu chochote cha mauti, hakitawaumiza. Wao wataweka mikono juu ya wagonjwWanafunzia, nao watapona.' Baada ya Bwana kuwazungumzia, alipelekwa mbinguni na akaketi kwenye mkono wa kuume wa Mungu. waliondoka na kuhubiri kila mahali, wakati Bwana alifanya kazi pamoja nao na kuthibitisha neno kwa ishara zilizowaongoza."(16:9-20)
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -61,6 +61,6 @@ Aina hii ya maelezo inatokea katika 1:1,8,13,14,26, 27;2:1, 5, 19, 24, 29; 3:1,
### Ni mambo gani muhimu zaidi katika maandishi ya kitabu cha Wafilipi?
* Matoleo mengine yana "Amina" mwishoni mwa mstari wa mwisho katika barua hii (4:23). Matoleo ya ULB,UDB na mengine mengi ya kisasa hayana. Iwapo "Amina" imejumuishwa, basi lazima iwekwe katika alama ya mabano ya mraba ili kuonyesha kwamba siyo asili ya kitabu cha Wafilipi. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
* Matoleo mengine yana "Amina" mwishoni mwa mstari wa mwisho katika barua hii (4:23). Matoleo ya ULB,UDB na mengine mengi ya kisasa hayana. Iwapo "Amina" imejumuishwa, basi lazima iwekwe katika alama ya mabano ya mraba ili kuonyesha kwamba siyo asili ya kitabu cha Wafilipi. (Tazama: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -81,4 +81,4 @@ lakini ULB, UDB na matoleo mengi ya kisasa hayafanyi hivyo."
* "Heri wazifuao nguo zao" (22:14). ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa husoma hivi. Maandiko mengine ya zamani husoma hivi, "Heri wal wanaofuata amri zake."
* "Mungu atamwondolea sehemu yake katika mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu" (22:19).ULB, UDB, na matoleo mengi ya kisasa husoma hivi.Maandiko mengine ya kale husoma, "Mungu atachukua sehemu yake katika kitabu cha uzima na kwenye mji ule mtakatifu."
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])

View File

@ -81,6 +81,6 @@ Yafuatayo ni masuala ya muhimu zaidi katika Kitabu cha Warumi:
* "Lakini ikiwa ni kwa neema, si kwa sababu ya matendo tena, la sivyo neema haiwezi kuwa neema" (11:6). Nakala bora za kale zilisoma hivi. Hata hivyo, baadhi ya matoleo yasoma: "Lakini ikiwa ni kwa matendo, basi sio neema tena: la sivyo matendo hawezi tena kuwa matendo."
* "Neema ya Bwana wetu Yesu Kristo iwe pamoja nanyi nyote. Amina." (16:24). Nakala bora za kale hazina aya hii.
Watafsiri wanashauriwa kutotafsiri kifungu hiki. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha kifungu hiki, watafsiri wanaweza kuijumuisha. Ikiwa zinatafsiriwa, zinapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Kitabu cha Warumi. (See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
Watafsiri wanashauriwa kutotafsiri kifungu hiki. Hata hivyo, ikiwa katika eneo la watafsiri, kuna matoleo ya zamani ya Biblia ambayo yanajumuisha kifungu hiki, watafsiri wanaweza kuijumuisha. Ikiwa zinatafsiriwa, zinapaswa kuwekwa ndani ya mabano ya mraba ([]) ili kuonyesha kwamba labda asili yao sio Kitabu cha Warumi. (See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/translate/translate-textvariants]])
(See: [[rc://*/ta/man/jit/translate-textvariants]])