sw_tn/zec/05/05.md

12 lines
440 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Inua macho yako
Kifungu hiki kinamwamru mtu kutazama juu kwa kurejerea macho yake.
# Kifuniko cha risasi
Hii inahusu kifuniko kizito. Risasi ni madini mazito.
# kulikuwa na mwanamke chini yake amekaa ndani yake
Mwanamke asingeweza kutosha halisi ndani ya kikapu wa umbo hili.Japokuwa ono la Zakaria alitosha ndani ya kikapu. Mara nyingi maono ya maumbo ya vitu yanatiwa chumvi. Wote mwanamke na kikapu wanawakilisha mambo mengine.