sw_tn/sng/04/12.md

60 lines
1.2 KiB
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Mpenzi anaendelea kumsifu mwanamke.
# Dada yangu, bibi arusi wangu
Ona jinsi ulivyo tafsiri 4:9
# ni bustani ilio fungwa
Mpenzi anamlinganisha mwanamke na bustani iliyo fungwa kwasababu yeye ni wake tu na anaweza mfurahia. Anaweza pia kusema kuwa yeye bado ni bikra ambaye bado hajamfurahia.
# chemchemi iliyo fungwa kwa muhuri
Mpenzi anamlinganisha mwanamke na chemchemi iliyo fungwa kwa muhuri kwasababu zile zile alizo mlinganisha na bustani iliyo fungwa.
# Matawi yako ... aina tofauti za manukato
Mpenzi anamuelezea jinsi mwanamke alivyo mzuri kwa kumfananisha kama bustani iliyo jaa vitu vizuri.
# kichaka
sehemu miti mingi inapo ota pamoja
# yenye matunda tofauti
"matunda mbali yaliyo bora"
# hina
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12
# Nardo
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12
# Zafarani
kiungo kinacho toka kwenye sehemu iliyo kauka kutoka kwenye uzi wa chano katikati ya ua.
# mchai
Hili ni jani lenye harufu nzuri ambalo watu wanatumia kutengeneza mafuta ya upako.
# mdalasini
kiungo kilicho tengenezwa na ganda la mti ambalo watu utumia kupika
# manemane
Ona jinsi ulivyo tafsiri 1:12
# aloes
aina kubwa ya mmea wenye harufu nzuri sana
# aina zote za uvumba
"uvumba bora"