forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
747 B
Markdown
20 lines
747 B
Markdown
|
# kwamba ahadi ilitolewa kwa Ibrahimu na wazawa wake, ahadi hii kwamba wangekuwa warithi wa Dunia
|
||
|
|
||
|
Kwamba Mungu aliahidi Ibrahimu na kizazi chake kwamba wangeweza kurithi dunia
|
||
|
|
||
|
# Badala yake, ilikuwa kupitia haki wa imani
|
||
|
|
||
|
Maneno "Mungu hutoa ahadi" wanaachwa nje ya msemo huu lakini wao wanaelewa. AT "lakini Mungu alimpa ahadi kwa imani ambayo yeye aliiona kuwa ni haki."
|
||
|
|
||
|
# kama wote wafuatao sheria ndio warithi
|
||
|
|
||
|
'Ikiwa ni wale ambao wanatii sheria ambayo kwamba watarithi nchi'
|
||
|
|
||
|
# imani ilifanywa tupu, na ahadi ilifutwa
|
||
|
|
||
|
"Imani haina thamani na ahadi ni maana'
|
||
|
|
||
|
# lakini ambapo hakuna sheria, haiwezekani kuivunja
|
||
|
|
||
|
"Lakini ambapo hakuna sheria, hakuna kitu chochote cha kuasi" au "kwa sababu kuna kitu kwa watu huasi tu ambapo kuna sheria"
|