forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
539 B
Markdown
12 lines
539 B
Markdown
|
# Msiiharibu nchi mnayokaa kwa namna hii, kwa kuwa damu ya mwuaji huharibu nchi.
|
||
|
|
||
|
Msiifanye nchi ile mnapoishi isikubalike kwangu kwa namna hii, kwa sababu damu ya mwuaji huifanye nchi isikubalike kwangu"
|
||
|
|
||
|
# kwa namna hii
|
||
|
|
||
|
kwa kutokutii sheria inayohusiana na mtu anayeua mtu"
|
||
|
|
||
|
# Hakuna sadaka ya upatanisho inayoweza kufanywa kwa nchi pale damu inapomwagika juu yake isipokuwa kwa damu ya mtu aliyeimwaga.
|
||
|
|
||
|
"mtu anapokuwa amemwaga damu kwenye nchi, ni adhabu ya kifo cha mwuaji tu ndiyo inayoweza kufanyika kuwa fidia kwenye nchi hiyo"
|