sw_tn/num/32/28.md

12 lines
332 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kila mwanamume anayetakiwa kuwa vitani
"kila mwanamume aliyetayari akiwa na siilaha yake"
# kama nchi mtaitawala mbele zenu
"kama BWANA atawatawala mbele yenu hao watu wanaoishi katika nchi hiyo"
# basi mtawapa urithi wao katika nchi ya Kanaani"
Basi kile kizazi cha Gadi na Reubeni watapokea ardhi pamoja nanyi kule Kanaani