sw_tn/num/24/08.md

16 lines
217 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Balaamu anaendelea kutabiri kwa uwezo wa Mungu.
# Mungu anamtoa
Mungu anawaleta Waisraeli
# na nguvu kama za nyati
Waisraeli watakuwa na nguvu
# Atawameza mataifa
Watawaangamiza maadui wao