sw_tn/num/14/41.md

24 lines
354 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa nini sasa mnapinga amri ya BWANA?
"Hampaswi kuwa mnapinga amri ya BWANA tena"
# BWANA hayuko pamoja nayi
"BWANA hatawasaidia"
# kuwalinda dhidi ya maadui zenu
"kuwalinda ili maadui zenu wasiwaangamize"
# mtakufa kwa upnga.
"watawaua mtakapopigana nao"
# mlimtega mgongo BWANA
"mliacha kumtii BWANA"
# Hatakuwa pmoja nanyi
"hatawasaidia"