sw_tn/num/13/27.md

12 lines
234 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa hakika ni nchi ya kutiririka maziwa na asali
"kwa hakika ni nchi nzuri kwa ufugaji na kilimo cha mazao" au " kwa hakika ni nchi yenye rutuba"
# maziwa
"mazao ya yatokanayo na wanyama"
# asali
"chakula kitokanacho na mazao"