sw_tn/num/13/17.md

8 lines
387 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ni nzuri au mbaya? Miji yao ikoje iko kama kambi au ni miji yeneye ngome?
"Mkaone kama nchi ni nzuri au mbaya. ni aina gani ya miji iliyoko huko, na kama miji hiyo ni kama kambi au imezungushiwa ngome za ulinzi"
# Je, iko kama kambi au ni miji yenye ngome
Miji yenye ngome ilikuwa na kuta imara zinazozunguka ili kuwalinda na majeshi ya maadui. Kambi hazikuwa na kuta za namna hii.