sw_tn/num/06/12.md

16 lines
377 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# katika siku hizo za utakaso
"katika siku hizo ambazo atawekwa wakfu"
# Atalaetea kondoo mume kama ... sadaka ya hatia
"Ataleta kondoo mume wa mwaka mmoja kwa kuhani kuwa sadaka ya hatia"
# Zile siku za kabla ya kunajisika hazitahesabiwa
"Hatazihesabu zile siku za kabla ya kunajisika"
# kujiweka wakfu kwake kulinajisika
"alijifanya mwenyewe kutokukubalika kwa BWANA"