forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
878 B
Markdown
24 lines
878 B
Markdown
|
# Lakini k ama mtu huyu aliyetendewa kosa hana ndugu wa kupokea hayo malipo
|
||
|
|
||
|
Lakini kama mtu aliyetendewa kosa amekufa na hana ndugu wa karibu wa kupokea malipo hayo"
|
||
|
|
||
|
# kama mtu aliyetendewa kosa
|
||
|
|
||
|
"kama mtu ambaye mtu mwenye hatia amemtendea kosa"
|
||
|
|
||
|
# basi atalipa hayo malipo ya hatia kwangu kupitia kwa kuhani.
|
||
|
|
||
|
kama mtu atalipa malipo hayo kwa kuhani kulipia hatia yake ni sawa na kulipa malipo hayo kwa BWANA.
|
||
|
|
||
|
# kutoa fidia kwa ajili yake
|
||
|
|
||
|
"kutoa fidia kwa ajili ya dhambi yake"
|
||
|
|
||
|
# vitu ambavyo vimetengwa na vikaletwa kwa kuhani na watu wa Israeli
|
||
|
|
||
|
"vitu ambavyo watu wa Israeli wamevitenga na kuvileta kwa kuhani"
|
||
|
|
||
|
# sadaka ya kila mtu itakuwa ya kuhani; kama mtu yeyote atatoa kitu chochote kwa kuhani, kitakuwa chake
|
||
|
|
||
|
Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kilekile na vinaweza kuunganishwa ili visomeke kuwa, 'sadaka ambayo mtu hutoa huwa mali ya kuhani ambaye wamepewa.
|