sw_tn/num/02/01.md

12 lines
348 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kulingana na mahali pake
Kulikuwa na makundi makubwa manne ambayo makabila yalikuwa yamegawanyika. Kila kundi liliamuliwa kukaa mahali pamoja. Kila kundi lilitambulishwa na bango.
# pamoja na mabango ya baba zao
Kila ukoo ulikuwa na bango lao hapo kambini, ambalo lilikuwa ndani ya eneo kufuata mahali pao.
# mabango
bango ni bendera kubwa.