sw_tn/jon/04/10.md

24 lines
750 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Bwana akasema
"Bwana akamwambia Yona"
# haikunipassa kuuhurumia Ninawi, mji mkuu, ...Ng'ombe?
Mungu alitumia swali hili kusisitiza madai yake ya kwamba anapaswa kuwa na huruma juu ya Ninawi. AT 'Mimi hakika ni lazima nipate huruma kwa Ninawi, mji ule muhimu ... ng'ombe.' (Angalia tini_kutaja)
# ambayo kuna zaidi
Hii pia inaweza kuwa mwanzo wa sentensi mpya. AT "Kuna zaidi" au "Ina zaidi"
# watu mia moja na Ishirini elfu
Watu 120,000
# ambao hawajui tofauti kati ya mkono wao wa kulia na mkono wao wa kushoto
Hii inaweza kuwa njia ya kusema "hawawezi kuelewa tofauti kati ya zuri na baya."
# na pia Ng'ombe wengi
Mwandishi anaelezea ukosefu wa toba ya Ninawi kwa kiasi ambacho Bwana anachukua ushiriki wa wanyama katika tendo la toba