sw_tn/isa/57/14.md

16 lines
701 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Jenga, jenga! Safisha njia! Ondoa vitu vyote vya kujikwaa kutoka katika nja ya watu wangu
Yahwe ana nguvu na haraka ya kwamba njia ya wazi na tambarare iweze kuwepo kwa watu kurudi kwake na kufungulia vikwazo kwa kumuabudu Yahwe. Hii inaitikia 40:3.
# Kwa maana hiki ndicho Yule aliye juu na kuinuliwa asemavyo
Maneno "juu" na "kuinuliwa" kimsingi ina maana moja hapa na inasisitiza Yahwe kuinuliwa.
# kufufua roho ya wanyenyekevu, na kufufua moyo ya wenye majuto makali
Misemo hii miwili ina maana moja na inasisitiza ya kwamba Yahwe atawatia nguvu na kutia moyo wale ambao wanajishusha mbele yake.
# roho ... moyo
Hapa hizi zina maana ya mawazo ya mtu na hisia, sio roho na moyo kihalisia.