sw_tn/gen/37/15.md

24 lines
467 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mtu mmoja akamwona Yusufu. Tazama, Yusufu alikuwa akizunguka kondeni
"Mtu mmoja akamkuta Yusufu akizunguka kondeni"
# Tazama
Hii inaweka alama mwanzo wa tukio jingine katika simulizi kuu. Inaweza kuhusisha watu tofauti kuliko matukio ya nyuma.
# Unatafuta nini?
"Ni nini unatafuta"
# Tafadhari, niambie, wapi
"Tafadhali niambie wapi"
# wananalichunga kundi
"wakichunga kundi"
# Dothani
Hili ni jina la mahali ambalo lipo kama kilomita 22 kutoka Shekemu.