sw_tn/gen/25/31.md

24 lines
810 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# haki yako ya mzaliwa wa kwanza
"haki ya mwana wa kwanza kurithi sehemu kubwa ya utajiri wa baba yake"
# nakaribia kufa
Esau alitiachumvi kuweka msisitizo jinsi alivyokuwa na njaa. "Nina njaa mno nahisi kama vile ntakufa"
# Ni nini kwangu haki ya mzaliwa wa kwanza?
Esau alitumia swali kuweka msisitizo ya kwamba kula ilikuwa muhimu zaidi ya haki ya mzawa wa kwanza. Hii inaweza kutafsiriwa kama kauli. "Urithi wangu haunisaidii iwapo nitakufa kwa njaa!"
# Kwanza uape kwangu mimi
Kile ambacho Yakobo alimtaka Esau aape kinaweza kuwekwa wazi. "kwanza apa kwangu ya kwamba utaniuzia haki yako ya mzaliwa wa kwanza"
# dengu
Haya ni kama maharage, lakini mbegu zake ni ndogo sana, na kama vile tambarare.
# Esau akawa ameidharau haki yake
"Esau alionyesha ya kwamba hakuthamini haki yake ya kuzaliwa"