sw_tn/ezk/20/40.md

28 lines
729 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa nyumba ya Israeli.
# kutaka
"kulazimu kuleta"
# malimbuko ya kodi zenu
Hapa "malimbuko" huenda inamaanisha vitu bora miongoni mwa sadaka zote zilizowekwa pembeni kutoa kwa Mungu.
# vitu vyako vitakatifu
"sadaka ulizoziweka pembeni kunitolea"
# nitakapowatoa kutoka wale watu na kuwakusanya toka nchi ambazo mlizotawanyika
Haya maneno mawili yanamaanisha kitu kimoja na kusisitiza kwamba Yahwe atawarudisha watu wake kutoka mataifa yote ambayo aliyokuwa amewatawanya.
# mlikuwa mmetawanyika
"nimewatawanya."
# Nitajifunua mimi mwenyewe kama mtakatifu ndani yenu kwa ajili ya mataifa waone
"nitakutumia kuonyesha mataifa kwamba mimi ni mtakatifu"