forked from WA-Catalog/sw_tn
24 lines
1017 B
Markdown
24 lines
1017 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla:
|
||
|
|
||
|
Haya ni maneno ya Yahwe kwa watu wa Israeli.
|
||
|
|
||
|
# baadhi yao ambao walioukimbia upanga
|
||
|
|
||
|
"baadhi yao waliouawa katika vita." Upanga unawakilisha kuuawa katika vita.
|
||
|
|
||
|
# wakati mtakapo tawanyika miongoni mwa nchi tofauti tofauti
|
||
|
|
||
|
"wakati mtakapoenda ishi katika nchi tofauti tofauti"
|
||
|
|
||
|
# nitakavoyowaponda mioyo yao ya kikahaba ambayo imeniacha
|
||
|
|
||
|
Yahwe anawazungumzia Waisraeli kana kwamba walikuwa mwanamke anayelala na watu wengi. "nilikuwa na huzuni kwa sababu walikuwa kama mke aliyeniacha na kulala na wanaume wengine"
|
||
|
|
||
|
# na kwa macho yao ya kikahaba kufuata sanamu zao
|
||
|
|
||
|
Yahwe anawazungumzia Waisraeli kana kwamba walimuoa mwanamke anayetafuta wanaume wengine na kutamani kulala nao. "na kwa njia waliyoitamani kwa nguvu kuabudu sanamu"
|
||
|
|
||
|
# wataonyesha chuki kwenye nyuso zao kwa udhaifu walioufanya
|
||
|
|
||
|
Maana zinazowezekana ni 1) "watajichukia wenyewe kwa sababu ya mambo yao maovu waliyoyafanya" au 2) "watayachukia mambo maovu waliyoyafanya." "Nyuso zao zitaonyesha chuki zao kwa uovu walioufanya."
|