forked from WA-Catalog/sw_tn
12 lines
474 B
Markdown
12 lines
474 B
Markdown
|
# hata katika akili
|
||
|
|
||
|
"hata katika mawazo yako"
|
||
|
|
||
|
# wenye mali katika chumba chako
|
||
|
|
||
|
"watu matajiri ukiwa chumbani mwako." Hii inamaanisha usiwalaani watu matajiri hata katika sehemu yako ya faragha ambapo hakuna yeyote atakayekusikia.
|
||
|
|
||
|
# Kwa kuwa ndege wa angani ... kinaweza kusambaza jambo
|
||
|
|
||
|
Mistari hii miwili inamaanisha kitu kimoja na imeunganishwa kwa ajili ya msisitizo. Mwandishi unatumia sitiari ya ndege kusema kuwa watu watajua ulichosema kwa njia moja au nyingine.
|