forked from WA-Catalog/sw_tn
20 lines
677 B
Markdown
20 lines
677 B
Markdown
|
# Yeye aliyekuwa kama wana wa mtu
|
||
|
|
||
|
Kauli hii inamrejelea yeye ambaye alikuwa ameongea na Danieli. Ingawa, baadhi ya matoleo hutafsiri kwamba alikuwa anamrejelea mtu mwingine tofauti.
|
||
|
|
||
|
# kama wana wa mtu
|
||
|
|
||
|
Maelezo haya yanawarejelea watu kwa ujumla
|
||
|
|
||
|
# masumbuko
|
||
|
|
||
|
mateso makali ya kihisia
|
||
|
|
||
|
# Mimi ni mtumishi wako. Je ninawezaje kuongea na Bwana wangu?
|
||
|
|
||
|
Danieli anauliza swali hili kumaanisha kwamba yeye hawezi kuongea na malaika kwasababu yeye halingani na malaika. Sentensi hizi zaweza kuunganishwa. "siwezi kukujibu wewe kwasababu mimi ni mtumishi wako"
|
||
|
|
||
|
# hakuna pumzi iliyosalia ndani yangu."
|
||
|
|
||
|
Nahau hii inarejelea upumuaji. "Siwezi kupumua" au "ni vigumu sana kupumua"
|